ANGALIA PICHA ZA TONTO DIKEH AKIONYESHA TATOO ZINAZOELEZEA KUJIHUSISHA NA ILUMINAT.
Akiwa na miaka 28 Tonto Charity Dikeh, a.k.a Tonto Dike ambaye ni Mwigizaji na Msanii pia toka Nigeria ameweza kuweka wazi Tatoo zinazoashiria kuwa ni mmoja wa wafuasi wa Dini ya Kishetani(Illumnation) na akaweka ujumbe juu ya Picha hizo alizoziweka kwenye Mtandao wa YouTube,ujumbe ukisomeka hivi
"My way forward, easy to role hard to drive"! A movie that reminds u how TOUGH! the road is, Seems easy, sweet and Interesting but a spiritual land of settlement.... Good or Bad prevails.....
Mwigizaji huyo ambaye tokea akiwa na umri wa Miaka 14 alianzaa kujihusisha na uvutaji wa Sigara na hata Sigara kubwa(UTAJAZA) baada ya hapo aliweza kuombewa kwa na Mchungaji T.B Joshua wa Emmanuel TV.[5]
Na Maisha mengine ambayo ameyafanya ikiwemo kuongoza baadhi ya Vipindi vya TV ikiwemo The Next Movie Star n.k
Baada ya hapo akaanza kuhusishwa na kuwa kwenye Imani ya Kishetani japo yeye amekuwa mgumu kulielezea hilo.
0 your comments:
Post a Comment