Nov 15, 2013
Tagged under: Entertainment, News, Social
Hatujui kama ni filamu ama maisha ya kweli, lakini muonekano mpya wa muigizaji wa filamu, Vincent Kigosi aka Ray umewachefua wengi na wanadai kuwa amechemka vibaya.
“Sasa c muotee kitu gani kinakuja, au nami nimegeukia Bongo Fleva,” amechokoza Ray kwenye picha alizoziweka kwenye Instagram.
Picha hizo zinamuonesha akiwa amejichora tattoo nyingi mkononi na huku kichwani akiwa amezinyoa nywele za utosini na hivyo kuonekana kama mtu mwenye upara wa asili.
Credit:Quartz
Infor| Tattoo na muonekano mpya wa Ray, vyawachefua wengi, wasema kachemka vibaya.
Hatujui kama ni filamu ama maisha ya kweli, lakini muonekano mpya wa muigizaji wa filamu, Vincent Kigosi aka Ray umewachefua wengi na wanadai kuwa amechemka vibaya.
“Sasa c muotee kitu gani kinakuja, au nami nimegeukia Bongo Fleva,” amechokoza Ray kwenye picha alizoziweka kwenye Instagram.
Picha hizo zinamuonesha akiwa amejichora tattoo nyingi mkononi na huku kichwani akiwa amezinyoa nywele za utosini na hivyo kuonekana kama mtu mwenye upara wa asili.
Credit:Quartz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment