Ilikuwa katika ufunguzi wa Bongo Infinity Club,cheki picha takribani 14 za tukio hilo zima,huku mkali toka area code ya 254 anayetamba na single 'Whoaa' aliowashirikisha Prezzo na AY mwite DivaVoice Victoria Kimani alipata kufanya yake,Hakusahaulika yule mkali wa hit inayofanya uzuri kwa sasa katika TV/Radio Stations ya Msambinungwa Tundaman,Navy Kenzo a.k.a wazee wa Bokodo,Amenina, walikinuksha na Suprise kibao
Credit:UdakuMagazine
Mar 10, 2014
Tagged under: Entertainment, Music, News, Photo, Social
Habari Picha| Victoria Kimani,Tundaman,NavyKenzo wakinukisha ufunguzi wa Club mpya Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment