Ray J na Kim Kadasian enzi za uhusiano wao |
Zawadi hii aliyoitoa Ray J kwa wanandoa watarajiwa ni cheki ya pesa yenye thamani ya dola za kimarekani 47,000 ($47k) ikiwa ni faida ya mauzo ya video iliyovuja kwenye mtandao ya ngono aliyoifanya na Kim Kardashian
Kwa kifupi mpaka sasa kwa mujibu wa TMZ zawadi ambazo wapendanao hao wamepokea kwa kifupi ni kama ifuatavyo.
Januari wamepokea $6,135.60
Februari wamepokea $20,097.31
March wamepokea $9,674.76
April wamepokea $10,931.52
Jumla Wamekusanya $46,840.13
Video hiyo ambayo inasemekana inazidi kufanya vizuri mpaka sasa zaidi ya Dola za kimarekani 50($50).Bado inasubiriwa kama Kim K ataipokea zawadi hiyo toka kwa X wake huyo.
HILI HAPA COVER LA VIDEO YA NGONO AMBAYO RAY J,NA KIM WALICHEZA KWENYE VIEDEO HIYO.
0 your comments:
Post a Comment