Msanii chipukizi Nelly Hard akiwashirikisha Badspenders pamoja na Freddy katika chorus anakuja na ngoma kwa jina "Mbali na Nyumbani" Ikiwa imerekodiwa juu ya beat ya Machua Touches na vocals pande za Noizmekah studios, bofya HAPA kusikiliza/kudownload na kwa mahojiano/mawasiliano zaidi check na NELLY HARD kwa nambari +255 768 331 121 powered by www.vmgafrica.com
May 19, 2014
Tagged under: Entertainment, Music, News
Listen/Download| "Mbali na Nyumbani" by Nelly Hard ft BadSpenders
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment