Staa kutokea Nigeria, D’Banj amekuletea hii video mpya ya single yake iitwayo Feeling the nigga katika video hiyo ameonekana aliyekuwa mwakilishi wa Nigeria, Tayo kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots 2014 .
VIDEO YENYEWE HIYO HAPO CHINI
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye video hiyo ikiwemo ya aliyekuwa mwakilishi wa Nigeria kwenye Big Brother Africa Hotshots Tayo
0 your comments:
Post a Comment