Leo January 30, 2015 Peter Okoye alishare Picha kwenye ukurasa wa Instagram, akisema tayari kafika Anambra, Nigeria tayari kwa ajili ya mazishi ya baba yao.
“In Anambra… RIP DADDY“–@peterpsquare
Miaka miwili iliyopita alifariki mama yao, leo wamemzika baba yao.
Hizi ni picha za safari ya mwisho ya Mzee Moses Okoye, baba wa mastaa mzazi wa P Square na Jude ‘Engees’ Okoye.
PICHA ZAIDI ZA MAZISHI HAYO
0 your comments:
Post a Comment