|
Katika picha ni baadhi ya Wahujaji wakiwa katika Mafunzo.
|
|
Mratibu wa jitihada za UWEZO kupitia asasi ya kiraia
ya TWAWEZA Gerlad Ng’ongha |
|
Kaimu Afsa Taaluma halmashauri ya Ushetu Zacharia Ngussa wakati akifungua mafunzo ya
siku mbili kwa wahujaji 60 toka viji 20 kwa ajili ya kwenda kufanya tathmini ya
ujifunzaji mashuleni wilayani Kahama.
|
|
Picha ya pamoja ya mgeni rasmi mwenye mavazi meupe waliokaa Zacharia Ngussa na wahujaji 60 toka vijiji 20 wilayani Kahama mkoani Shinyanga |
Wahujaji wa kujitolea wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa
kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa na wakufunzi wao pindi watakapokuwa
kwenye maeneo watakayopangiwa ili
yaweze kuleta tija katika kuinua elimu
hapa nchini.
Hayo yalisemwa na kaimu Afsa Taaluma halmashauri ya
Ushetu Zacharia Ngussa wakati akifungua
mafunzo ya siku mbili kwa wahujaji 60 toka viji 20 kwa ajili ya kwenda kufanya
tathmini ya ujifunzaji mashuleni wilayani Kahama.
0 your comments:
Post a Comment