Ambwene Yessaya 'AY' |
Good news ni kwamba September hii AY anadrop pande hizo kwenda kukamilisha video ya ngoma hiyo na kupanua zaidi project hiyo ikiwemo kunyonga collabo nyingine na mkali toka Cash Money mwite TYGA
Kama haitoshi AY amefunguka zaidi na kusema safari hii si ya kitoto kwani wataenda kuingia booth tena na big Sean Kingston kudondosha hit ya pili ambayo ipo under carpet
![]() |
Hapa ndio Los Angels,picha ndogo ni Sean Kingston |
Producer wa track hiyo ni yule yule alieproduce 'speak with your body' ambae pia ndiye anafanya kazi za Sean Kingston,Soulja Boy,ambae anasimama kaa engeneer wa AKON na LADY GAGA
0 your comments:
Post a Comment