![]() |
rick ross the big boss |
CEO wa MAYBACH MUSIC GROUP{MMG}unaweza ukamwita the honchor hapa namzungumzia mtu mzima RICK ROSS a.k.a THE BIG BOSS aezidi kuudhihirishia ulimwengu wa Music kuwa yeye ni zaidi ya wote katika chat za Bilboard kwa mara nyingine tena baada ya kushika nafasi ya moko a.k.a kwanza kwa mauzo ya ulbum yake ya 5 kwa kuuza jumla ya copy 218,000/= ndani ya wiki yake ya kwanza
Ulbum hiyo ya 5 iliyompa ukinara inakwenda kwa jina la GOD FORGIVES-I DONT,,according to Nielsen soundScan hii imekuwa ulbum ya 4 kwa kukamata namba moja katika chati na mauzo ya juu zaidi tangu dunia imfahamu kupitia sanaa ya uimbaji 

Ulbum za mwanzo kutisha kwenye namba moja ni pamoko na PORT OF MIAMI iliyotoka 2006,TRILLA 2008,DEEPER THAN RAP 2009,TEFLON DON 2010
HEBU PIMIA MAUZO YENYEWE YA HIP HOP ULBUMS WIKI AMBAYO ILIISHIA 5/08/2012
1:Rick Ross-'God forgives i dont' imeuza kopi 218,000{219,000}
5:Nass-'Life is good' imeuza kopi 32,000{226,000}
27:Maybach Music Group presents-'Self made vol 2' imeuza kopi 11,000{201,00}
42:Flo Rida-'Wild ones' imeuza kopi 7,500{608,000}
42:Nick Minaj-'Pinc friday,Romance reloaded'-imeuza kopi 7,300{606,00}
![]() |
moja ya utajiri wake Rick Ross |
0 your comments:
Post a Comment