![]() |
david luis wa chelsea na carlos tevez wa man city |
Pazia la ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama{ EPL }English Premier League limefunguliwa leo kwa mpambano wa ufunguzi wa ngao ya hisani kati ya mabingwa wa EPL Manchester City na bingwa wa klabu bingwa barani ulaya{ UEFA }Champions League Chelsea FC
Katika mchezo huo Chelsea waliokuwa wenyeji wa mchezo umemalizika kwa wenyeji hao wakibugizwa mabao matatu kwa mbili na Man City,wafungaji kwa upande wa Chelsea niTorres dk 40 na Bertrand dk 80,huku yale ya washindi yakitiwa kimiani na Y.Toure dk53,C.Tevez dk59,S.Nasri dk65
EPL itaanza rasmi jumamosi ya wiki ijayo kwa viwanja mbalimbali kuanza kuwaka moto
![]() |
picha na www.supersport.com |
0 your comments:
Post a Comment