Mkali wa hiphop TZ Juma Mchopanga yuko ulaya katika ziara ya kikazi ambapo kwa sasa jamaa yuko pande za Armstedam-Uholanzi baada ya kutoka nchini Uganda ambako aliweza kuwapagawisha wana wa mzee Mseven katika show ya Uganda Nite akiwa na wakali wengi wa area code ya +256 kama vile akina Bob Wine na wengineo
Jamaa anampango wa kundeleza gambe katika mataifa ya Italy na Ufaransa

![]() |
| hapa Jay Moe yuko na mwenyeji wake katikati ni athuman machupa |
![]() |
| jay moe na mwenyeji wake |


0 your comments:
Post a Comment