![]() |
mwanadada Tylor Swift. |
Oct 24, 2012
Tagged under:
MWANADADA TYLOR SWIFT NA MAUZO YA 'RED' NDANI YA WIKI YAKE YA KWANZA
Hii ndo album ya kwanza kufanya uzuiri ki mauzo kwa mwanadada Tylor Swift ndani ya wiki ya kwanza,kwa mujibu wa chanzo cha infor hii kupitia mtandao wa NielsenSound Scan era,album ya RED imeuza kopi 500,000 kufikia October 22 na inatarajiwa kuuza kopi zaidi ya million 1kufikia tarehe 28 mwezi huu ndani ya wiki moja tangu mdada huyo kuirelease official ktk mitandao na kenye vyombo vya habari.Juma moja lililopita album ya RED iliuza kopi 390,000 kwenye mitandao mbalimbali ikwemo mtandao wa iTunues na mingineyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment