300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Oct 31, 2012

Tagged under:

ZAIDI YA WATU 20 WAUAWA NCHINI NIGERIA

hizi ni baadhi ya silaha zilizotumiwa na wavamizi nchini Nigeria
Watu 20 wameuawa akiwemo kiongozi mmoja wa kijamii katika uvamizi aliofanyika kasikazini mwa Nigeria katuka jimbo la Zamfara na wavamizi kwenye kijiji cha Kaboro ambapo habari zinasema kwa wavamizi hao walivamia kijiji hicho na kuanza kufyatua risasi kiholela.
Afsa mkuu mmoja wa jimbo hilo amefafanua kuwa lengo la mashambulizi hayo ni wizi ambapo kwa mujibu wa Gazeti la Tribune limeelezea kuwa wavamizi hao walikuwa na bunduki aina ya AK-47 na walitumia pikipiki na farasi kufanya mauaji hayo.
Kiongozi aliyeuawa alikuwa akijihami kwa kuwakataza wavamizi jambo lililopelekea kupigwa risasi mblili za kifuanai na kufa papo kwa papo.Baadhi ya waahtirika wa uvamizi huo wameelezea kuwa pengine ni kazi za kundi la upiganaji la Boko Haramu ambapo duru za kiusalama zimekanusha kundi hilo kutohusika katika mauaji hayo.
Nigeria imekuwa katika vuguvugu la masuala ya vitendo vya kigaidi vinavyotokea kwa saana maeneo ya kaskazini mwa Taifa hilo yakilihusisha kundi la Boko Haramu ikiwemo utekaji nyara na wizi.

1 your comments: