Ni nafasi nzuri kwa Chriss Brown kwani hii imekuja baada ya siku chache tu msanii huyo kutangaza ziara yake ya Ulaya majira haya ya baridi aliyoipa jina la 'CARPE DIEM' mahususi kwa kuitangaza single yake ''Dont Judge Me'' ambayo inatarajiwa kuanza hapo kesho tarehe 17Nov. ikianzia Norway, tarehe 12 itakuwa nchini Sweden baadae Germany,Belgium,Ireland,Switzerland,Uholanzi na akihitimisha ziara hiyo nchini Ufaransa katika jiji la Paris.
moja ya kazi zake mtu mzima Chriss Brown |
Nayo WILHEMINA INTERNATIONAL kupitia kwa mkurugenzi wake Bw.Tylor Hendrich aikusita kuelezea jinsi uhusiano wao mpya na mtu mzima Chriss Brown kuwa ''Ni furaha kubwa na tafsiri juu ya nguvu mpy tuliyonayo sasa(chriss brown). Bado haijawa wazi ni kiasi gani cha fedha Chriss Brown atakuwa analipwa na yeye atahusika zaidi kwenye nini kunako kampuni hiyo.
0 your comments:
Post a Comment