Will.I.am |
Will.i.am katika pozi |
Septemba 18 msanii huyo aliweza kutweet kwenye mtandao wa twitter ujumbe ukielezea sababu za kusogezwa kwa tarehe za kuiachia Album hiyo akisema ''trying to finish 'willpower'.....$ now because of all the leaks I have push(ed) the album back to make new songs...I will give you updates soon''.
Album hiyo ni kama mwendelezo wa nyimbo ambazo alishawahi kuzifanya akiwa Marekani ikiwemo T.H.E(The Hardest Ever) aliowashirikisha Mick Jagger na Jennifer Lopez,This Is Love akimshirikisha Eva Simons.Scream & Shout ni moja ya single itakayobeba uhalisia wa Britney Spears kama moja ya kazi ya mziki zaidi ya mwaka mmoja kwenye Album yake ya saba ya Femme Fatale aliyoiachia April 2011 ikiwa na ngoma kama vile 'Hold It Against Me' iliyowahi kukaa kileleni mwa chat za Billboard,'Till The World Ends'iliyowahi kushika namba 6 katika chat za Billboard,pamoja na 'I wanna Go' iliyoweza kufanya fresh kwenye chat hizo za Billboard.
Mwanadadiva Britney Spears |
0 your comments:
Post a Comment