David Beckham |
David Beckham akiwa katika uzi wa La Galaxy: picha na reuters |
Pamoja na taarifa hizo lakini kumekuwepo na taarifa kuwa huenda mchezaji huyo akajiunga na klabu ya Melbourne ya nchini Australia taarifa ambazo zinaelezea mchakato wa Beckham kujiunga na klabu hiyo kuwepo jambo ambalo yeye amekanusha na kusema hana mpango wowote na wala hafikirii kucheza ligi ya Australia maarufu kama A League.
Beckham akiiwajibikia timu yake ya La Galaxy katika moja ya mechi alizowahi kuichezea. |
0 your comments:
Post a Comment