huyu ndiye Kenny Morgan |
Akiwa na umri wea miaka 18 Morgan aliichezea Man U mechi yake ya kwanza dhidi ya Leicester City mnamo tarehe 21 Desemba 1857.Kenny Morgan alikuw majeruhi aliyenusurika katika ajali ya ndege iliyokuwa imebeba timu hiyo kushiriki kombe la bara la Ulaya na ndege hiyo kupata ajali iliyosababisha vifo vya watu wapatao 23 na ilikuwa ni februari 6na kwa bahati nzuri Morgan aliweza okolewa na waandishi wa habari wawili na akaendelea na usakataji gozi na kujiunga na klabu ya Swansea City akitokea Man U na ilikuwa mwaka 1961 na akaamua kuachana na usakataji kabumbu mwaka 1967
0 your comments:
Post a Comment