300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 28, 2013

Tagged under:

Politics| SAKATA LA JESHI LA UGANDA KUTISHIA KUCHUKUA UONGOZI WA NCHI HYO LACHUKUA SURA MPYA.

 Baada ya sakata la kufariki ghafla mbunge wa chama tawala NRM nchini Uganda,rais Museveni pamoja na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wamekuwa wakitoa kauli za kutishia kuliachia jeshi lichukue uongozi nchini humo.
         Nchini Uganda baada ya sakata la wiki kadhaa la kufariki ghafla mbunge wa chama tawala NRM na aliyekuwa mkosoaji mkubwa wa serikali ya chama chake inayoongozwa na Museveni Selina Nambanda,sasa rais pamoja na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi katika nyakati tofauti wamekuwa wakitoa kauli za kutishia kuliachia jeshi lichukue uongozi nchini Uganda. Yote yanatokana na mpasuko ndani ya chama cha NRM ambapo wabunge wa chama hicho wamekuwa wakitaka ianzishwe tume huru ya kuchuguza kifo hicho,hatua ambayo inapingwa na rais Museveni.Wabunge kadhaa wameshatiwa ndani kufuatia hoja hiyo.Kinachowatia wengi mashaka kwa sasa ni kauli hizo za kutaka jeshi liidhibiti serikali,vyanzo vya habari hii vimeweza kufanya mahojiano na mmoja  kati ya  wachambuzi wa masuala ya kiasiasa kutoka nchini Uganda.
Mhadhiri wa masuala ya sheria katika chuo kikuu cha Makerere,Dkt John Nsokwa analizungumziaje suala hili na hapa alikuwa akifanya mahojiano na kituo cha idhaa ya kiswahili DW leo mchana kutoka Borne nchini ujerumani akihojiwa na Saumu Mwasimba.
BOFYA HAPA KUSIKILIZA MAHOJIANO

0 your comments:

Post a Comment