300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Feb 26, 2013

Tagged under:

Entertainment| Kim Kardashian na Kanye West walipamba Cover la jarida la Ufaransa kwa pozi la Utupu

             Ni jambo ambalo mtoto wao ajaye akishuudia Cover la jarida la French Magazine lazima apatwe na mshangao jinsi wazazi wake walivyoweka pozi maalum kwa kulipromoti Jarida hilo kwa staili ya Utupu,Kim hivi karibuni kwa mujibu wa vyanzo vya habari hii alifunguka na kusema hafikirii kupumzika kidogo kutokujihusisha na kazi ya utangazaji kwenye kituo cha E! akiendesha show yake mwenyewe  kwa ajili ya kutuliza mwili wake akilea ujauzito wa mtoto wao wa kwanza anayetarajia kumpata toka kwa mmewe wa sasa Kanye West kama ambavyo masupastar wengi wamekuwa wkifanya na kuongeza kuwa mtoto wake kamwe hatakuja kuonekana katika Television
              Kim aliweza kufika mbali zaidi baada ya kuulizwa juu ya mpenzi wake wa sasa(Kanye) kuonekana katika kipindi chake cha TV alisema mpenzi wake huyo amekuwa mzito na msiri juu ya uamzi wake wa kujitokeza kwenye show ya Kim ila anaamini usiri uliopo kwa Kanye ni kama suprise na anaamini siku si nyingi mme wake ataonekana katika TV hususani kipindi cha Kim.
             Kim akalonga zaidi kwa kusema'As everyone knows, we are extremely proud of the show and all of us are staying on through at least season 10. The show remains to be my number 1 priority and it’s a big part of my life and I enjoy every moment of it'.Lakini vyanzo vya habari hii vimeweka wazi kwamba ujauzito wa Kim si mkubwa kwa sasa na lazima itafikia hatua ya kuwa kama mastaa wengine kutokujihusisha na wanachokifanya ili walee ujauzito wao kama ilivotokea kwa Amberose na Beyonce ambao kwa sasa ni wazazi.
Swali ni kipi ambacho mtoto wa Kim na Kanye atachukulia maisha wanayoyatengeneza katika jamii kama kupamba makasha ya Majarida kwa picha za utupu kama walivyofanya katika French Magazine? 

0 your comments:

Post a Comment