Licha ya takribani miezi kumi na ushee hivi ipite mwanadada huyo apokee viganja kadhaa toka kwa Boy friend ake pakatokea kutofautiana kati ya wapendanao hao jambo ambalo lilidaiwa kutiwa chumvi na akina mama wanaharakati kutoka Marekani kanma vile Opra Winfrey huku taarifa zikitolewa watu hao walikuwa bado na uhusiano mpaka juzi kati wawlili hao(Chriss B na Rihanna) walipoweka mabo hadharani kuwa wako tena katika uhusiano wao.
Huku kukiwa na taarifa kuwa ni Rihanna na Chriss B kituko kingine mdada huyu jumatano ya wiki hii kakifanya na hii ni mara baada ya kuonekana akiwa na kwenye Kampuni ya mwanaume mwingine ambaye anafahamika kwa jina la Makua Rothman katika ufukwe mmoja nchini Marekani wakiwa kwenyemichezo ya kimahaba wakitumia boti ndogo ainaya Jet-Skiing huku akiwa katika nguo ya ndani (Bikini) jambo ambalo lilizua jambo kuwa mwanamziki huyo mwenye umri wa miaka 25 bado atakuwa kizunguzungu kwa Chriss Brown
PICHA ZAIDI ZA RIHANNA AKIWA KATIKA BIKINI NDOGO HUKU KWA RAHA ZAKE NA MAKUA ROTHMAN
0 your comments:
Post a Comment