Siku chache zilizopita kuwepo kwa taarifa za Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds Fm Loveness Malinzi(Diva) kutangaza kumpiga chini
Mh.Zitto Kabwe na kuhamia kwa Jackson Makini(Prezzo),Leo kupitia Instagram ameamua kumchokonoa tena kwa
kumkejeli kuhusu uamuzi wake wa kugombea Urais.....
Huu ni ujumbe wake aliouweka instagram:
".Ivi kwa akili yako unadhani unastahili kweli kuwa Rais mteule wa taifa hili,na Unajitofautisha vp na Dk. Slaa???
"Usiponijibu nikaridhika, basi ntakuchukulia kama mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."
ndo ubaya wa kuwa uhusiano na wasichana wasio na akili
ReplyDeletepole sana kamanda zitto