300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

May 20, 2013

Tagged under:

Entertainment-Baada ya Kuwa na Prezzo,Diva amchokonoa tena Mh.Zitto Kabwe.


Siku chache zilizopita kuwepo kwa taarifa za Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds Fm Loveness  Malinzi(Diva)  kutangaza  kumpiga  chini  Mh.Zitto Kabwe na kuhamia kwa Jackson Makini(Prezzo),Leo kupitia Instagram  ameamua  kumchokonoa  tena  kwa  kumkejeli  kuhusu  uamuzi  wake  wa kugombea Urais.....

Huu  ni ujumbe wake aliouweka instagram: 

 ".Ivi  kwa akili yako unadhani  unastahili  kweli  kuwa Rais mteule wa taifa  hili,na Unajitofautisha vp na Dk. Slaa???

"Usiponijibu nikaridhika, basi  ntakuchukulia  kama  mtu mwenye upeo finyu asiyejua alitendalo.."

1 your comments:

  1. ndo ubaya wa kuwa uhusiano na wasichana wasio na akili
    pole sana kamanda zitto

    ReplyDelete