May 19, 2013
Tagged under: Video
Mkali wa Bongo Movie na ambaye kwa sasa anafanya vizuri kwenye industry ya Bongo music A ctress Aisha Ramadhan(Shilole),ameendelea kuwa ni zaidi ya yale tunayoyafahamu toka kwake,mara hii kupitia Kampuni ya Utengenezaji video inayofahamika kama ELITE 8 ENTERTAINMENT imeweza kuweka baadhi ya Clip kwenye mtandao wa You Tube ukimwonesha binti huyo wa Kinyamwezi toka Tabora aliyehamishia makazi yake mpaka Dar Es Salaam kikazi zaidi jinsi ambavyoaliweza kuvunja mauno kwenye gari akiwa na memberz wenzake wa Bongo Movies wengi wao wakiwa ni wanaume kwenye msafara uliokuwa ukielekea Tanga kwenye Serengeti Fiesta mwaka jana pamoja na maeneo mengine ambapo Serengeti Fiesta ilipita huku timu ya wanaBongo Movie ikifanya Audition kwa walitaka kujiunga nao.
Moja ya waliobahatika kushuhudia burudani hiyo ya aina yake toka kwa Shilole ni Vicent Kigosi(Ray) pamoja na wanaBongo Movie wengine,licha ya hapo kwenye gari mdada huyo aliyejaaliwa kwa sura nzuri na umbo namba 8 kwa vijana wa sasa hivi wanavyoliita alienda kufanya ubunifu usio na soni kwa umati mkubwa ulioshuhudia tamasha la Fiesta mwaka jana uwanja wa Mkwakwani Tanga,hata hivyo chanzo cha habari hizi kimeweka wazi kuwa takribani show zote za Fiesta alizofanya Shilole aliweza kuitendea haki nafasi aliyopewa licha ya waandaaji wa Video hii kuelezea mabaya anayoyafanya msanii huyo wa Bongo Movie/Mziki lakini mazuri pia yapo.
KUANGALIA MKUSANYIKO WA CLIP HIZI FANYA KUCHUNGULIA HAPO CHINI
Video-Shilole achezesha mauno mbele ya wanaume ndani ya Gari.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 your comments:
Post a Comment