300x250 AD TOP

Powered by Blogger.

Life & style

Popular Posts

Marafiki Waliotembelea Blog

Technology

NGOMA

Featured Video

UDAKU

Recent Posts

Popular Posts

Jan 28, 2013

Tagged under:

Music| Ngoma mpya toka kwa Shaa ''Promise''.

Mzigo mpya wa kwake Msanii Sarah Kaisi unaweza kumwita Shaa ambaye pia ni mmoja kati ya waanzailishi wa kundi lililofanya vizuri miaka ya 2000 mwanzoni la WAKILISHA  lililokuwa likiwajumuisha wakali kama vile Langa pamoja na Witness Mawingi ambao kwa sasa kundi hilo halipo ila wasanii wapo na wanaendelea kufanya mziki.Na Shaa ni kati ya wasanii hao ambaye anaendeleza harakati za game hii na huu ndio ujio wake mpya hapa anakwambia PROMISE aliyenyonga Mdundo wa ngoma hii ni Producer Manecky toka AM Records na mashairi yameandikwa na Barnaba Boy toka THT.

Click hapo chini kuusikiliza na kuudownload mzigo huu
 

1 your comments:

  1. Napita tu.
    Mr 24Hours Mix
    http://24hoursmix.blogspot.com/

    ReplyDelete